[Verse 2: Zuchu] Na akilia njaa Ju njaa sifanyi ajizi Namjazia jar Ju jaa na vitangawizi
Baba chanja, baba chanja (eeeh..) Chukua vyote chukua (eeeh..) Vitafune nganja nganja (eeeh..) Chagua mwaya chagua (kula)
Ujiboosti na karanga ee (eeeh..) Tuliza na kitumbua (eeeh..) Jihadhari na majanga wee Usije ukaugua maana
[Hook: Zuchu] Ikipanda ni balaa (naogopa) Ikishuka ndo hatari (naogopa) Asijepata madhara (naogopa) Akaikosa na hali (naogopa) Ladha yake msala (naogopa) Shira ya kizanzibari (naogopa) Na mi simpi mi wala Akitaka nampa
[Bridge: zuchu] Nimroge kwanini kashaninogea Dambua, dambua Utamu wa sukari ni tamu kolea Dambua, dambua
I say my boo dambua (dambua) We dambua (dambua) Halua halua (dambua) We dambua (dambua) Nasema da dambua (dambua) We dambua (dambua) Nawa kama unafua (dambua) Kiguru nyanyua (dambua)Teksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.