[verse 2] Eeeh! Chozi dibwidibwi Nachanganyikiwa Na vilio sishikiki Niko magharibi Lizamapo jua Wewe upo mashariki Zawadi vipochi Vijuisi vipipi Nazimiss chocolate Nimekoma dear Nilivyonyongea Huba zako sizipati Tabibu Kunikomesha umepata Toto la kitanga Sababu Umeichoka jeuri yangu Ya kipemba Lile gubu Limeniisha kabisa Baby hali nanga Aibu Wananicheka wajinga Rudi nakuomba
[outro] Eeeh! Nikikaa nawazaa Nimuingie kwa style gani Nimlilie Niseme nna mimba Kasahau tshirt nyumbaani Nashindwa kujizuia Uvumilivu unanishinda kwanini Nikimpigia kusudi zake Na akipokea Eti haloo wewe nani? Iiiiih! Iiiih! Na namba kakupa nani? Mara oooh kumbe wewe Unafanya issue gani? Siku hiziiiii iiih! Me msanii anajua Ina maana hanioni? Kwenye tv iiiih! Aah! Aih wewe! Aah! Aih wewe!Teksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.