Shunuaa usijipe mapana Eti mwili kujitutumusha Nitakutawanya ka bahari na fimbo ya Musa Umejigeuza Sudi Sio wa Corora wala Vogi Na hilo wowowo la kufoji Eti linakupa kodii Ohh leo unikome mwenye kiranga (Mwenye kiranga) Hujanijua vizuri Hili timbwili la vanga (Mwenye kiranga) Ooh leo mbona umeyabananga (Mwenye kiranga) Mi maskini jeuri Sitegemei madanga (Mwenye kiranga) Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu Walimwengu tutakufunza Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushidwa kwenu Walimwengu tutakufunza Mwali kigego mwenye nyota ya mitaala Hivi kungwi wako nani wewe? (Atajijuaaa) Uso mitego imedoda biashara Hueleweki si kunguru si mwewe Wadala ubaki dala Mwenzio mimi kibunda Haufai kwa kafara Si mbuzi wewe ni punda Umejivisha ubazazi Kwa mapana na marefu Uso na kazi Si wa ndala wala peku Ooh ooh Ondo ondo mlezi wa wana We budege zoa zoa Mwali pengo binti mwanya Chuchunge kwa kudonyoa Ooh leo unikome mwenye kiranga (Mwenye kiranga) Hujanijua vizuri hili timbwili la vanga (Mwenye kiranga) Ohh leo mbona umeyabananga (Mwenye kiranga) Me maskini jeuri, sitegemei madanga (Mwenye kiranga) Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu Walimwengu tutakufunza Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushidwa kwenu Walimwengu tutakufunza Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushindaTeksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.