[Verse 1 : Zuchu] Habiby louzii Kipenzi changu cha ngama Mi ma wewe hadi milelee Komesha wachokozii Wabaki kututazama Tuwatoe jasho la nywele Mhh! Nimesikia khabari Eetii kuna mtu twamkera Oooh mbona akae tayari Maana bado muvi hili trelaaa Na usiku nikumbate (iteh teh teh teh) Oooh my baby boo (iteh teh teh teh) Kwa gego ning'ate nga'te (iteh teh teh teh) You know i love you Nikizidi ugomvi unichape (iteh teh teh teh) Silaha runguu (iteh teh teh teh) Kwenye joto nipepee (iteh teh teh teh) Mwandani wanguuu Penzi letu kwao fayaa
[Chorus] Na litawachoma sana mhhh litawaumaa Na litawachoma sana eh kwa roho mbaya zenu Na litawachoma sana ooh na hatuachanii Na litawachoma sanaa
[Verse 2:Diamond Platnumz] Mhh! Ada Kinachotakasa nafsi huba si sabunii Kwangu usiwe na wasi nishaacha uhuni Ada kama moyo jiko basi we ndo wangu kuni Mapenzi soka nipe pasi ntie nyavuni Tena wasikutishe kwa jumbe zao za kata (kataa) Mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata (pataa) Mahaba ni tashtiti na baby unayajua Siwezi fanya ya shishi uchebe kukubutua Waambie na ibilisi Kwetu wanajisumbua Huu mfupa kashindwa fisi Wao paka utawaua
[Bridge: Diamond Platnumz] Dodoo dodo (nimeokota dodo na mjani wake) Nimeokota dodo Litaemkera ni shauri zake Simba nimelipata dodo Nimeokota dodo na mjani wake Oh mi mwenzenu dodo Litaemkera ni shauri zake Na litawachooma
[Chorus] Na litawachoma sana mhhh litawaumaa Na litawachoma sana eh kwa roho mbaya zenu Na litawachoma sana Ooh na hatuachanii Na litawachoma sanaa
[Outro: Diamond platnumz & Zuchu] Asa baby Nichezeshe ngondo Ngondo ngondoigwa ngo Ah tulicheze ngondo Ngondo ngondoigwa ngo Eeeh timbwili timbwili tutimbwilike Ngondo ngondoigwa ngo (oooooh) Mpaka kupambazukee Ngondo ngondoigwa ngo (ai ngondo)Teksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.