Katalog:  A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 

Z / Zuchu / Kwaru


iyoo lizer
aaah ah aaaaaah

[verse 1]
ah
roho ingekua na macho ungejionea
moyo haufanyi kificho ukigotea
mimi kipi nisonacho ungeongea
mwili wangu rochorocho nanyong'onyea
chungu nilichopika
wamepakua wenzangu
huruma napukutishwa
wamechukua tonge langu
na kitabu chetu cha mapenzi
kurasa umeichanachana
hazisomeki tena tenzi
zimepoteza maana

[bridge]
mpofu moyo wangu
ulishindwa ona
hukuandikwa wakwangu
limenikaba nalitema

[chorus]
kwaru kwakwaru kwaru
kachukua kisoda ana ukwangua
kwaru kwakwaru kwaru
moyo wangu unaumia
kwaru kwakwaru kwaru
ah! ye kwa nguvu ana ukwarua
kwaru kwakwaru kwaru
jamani moyo wangu
unaumia

[verse2]
eh
langu tatizo
nachunda najimaliza
mi nakesha kumuwaza
naweweseka lake jina (ooh jina)
oh! basi kwa unyonge
najikaza niache kulia
mana kwake bahati sina (ooh sina)
maumivu ameipora furaha yangu
ooh amekwenda nayo
na zangu mbivu zimeniozea
mmh hasara kwangu
oooh oh! yatajwisha nayoo

[bridge]
mpofu moyo wangu
ulishindwa ona
hukuandikwa wakwangu
limenikaba nalitema

[chorus]
kwaru kwakwaru kwaru
kachukua kisoda ana ukwangua
kwaru kwakwaru kwaru
moyo wangu unaumia
kwaru kwakwaru kwaru
ah! ye kwa nguvu ana ukwarua
kwaru kwakwaru kwaru
jamani moyo wangu
unaumia
Teksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.
Szukaj MP3
· Zuchu - Kwaru
· Konwertuj video do MP3
· Konwertuj video do MP4

Nowe Teledyski
 · " onmouseover="ttitle(this,event)">Klaudia Zielińska - Jambo "Znowu Czuję Lato"
 · Kacper HTA X Hinol - Smak Twych Ust
 · Skolim - Wejde Wyjde
 · Kizo X Bletka? - 100 BPM
 · Sabrina Carpenter - Please Please Please
 · Ariana Grande - The Boy Is Mine
 · Billie Eilish - Chihiro
 · Kizo, Bletka - Na Brzegu
 · Popek - 2024 Lato
 · Eminem - Houdini
 · Topky - Kto Wkurzy Cię Jak Ja
 · Kubańczyk - Bukiet Róż
 · Oskar Cyms - Cały Czas
 · Skolim, Divix, Hellfield - Bebecita
 · Bayera - Zakochać Się
 · Dedis - Zagubione Dziecko
 · TKM - Queen
 · Daj To Głośniej - Pilnie Oddam Gruz
 · Kubi Producent Ft. Szpaku, Tulia - Pusty Pokój, Ale Płyty Diamentowe
 · Alan Walker, Kylie Cantrall - Unsure

Wszelkie prawa zastrzeżone. Powered by © 2004-2024 Teledyski.info || Polityka cookies || Darmowe Mp3 || Zgłoś błąd

[ darmowe teledyski do oglądania ]