[verse 1] Mi staki tuongee Moyoni nna machungu machungu Nsije tenda dhambi mhh Ila chozi la mnyonge Malipo ni kwa mungu kwa mungu Bora nihame kambi Mmhh mhh Kama subira ina mwisho Ina mwisho wake manaa Asali umeimaliza mzinga Ukanifanya tahira Suluhisho nimeona kwako hamnaa Moyo wangu si wa mninga najitoa Tunagombana kwa vitu vidogo Kosa si kosa unageuka mbogo Huna dogo wewe Hunipendi unang'ong'a kisogo Punda siendi eti bila magongo Mpenda zogo wewe
[verse 2] Kina cha mmaji matitu Ukaniacha bila boya nijifie Kosa langu nini Mchana nauona ka usiku Nachacha nyie maumivu muyasikiee Yasiwakutenii Hiiiiiiih! Na kama halbadirii ya mbayana umeniumbua Umeniadhiri umeniacha mnyama na nguo uumenivua
[bridge] Kukupenda tenaa sitakii Nimekomaaah sitakii Kukuonaa sitakii Mhhh Narudia tena sitakii Kukuonaa sitakii Nimekoma sitakii Heeeee Bora nihesabu tu kama nimepata
[outro] Kamix Lizer Heeee ahhh ahaa haha Aaaah haa ha haha Aaah haha ha ha aaaah Bora nibaki naliaa Haaa haha ha (heeee ahhh) Haaa hahaa (noo no noo no nono) Mhhh mhhhTeksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.