Katalog:  A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z   0   1   2   3   4   5   6   7   8   9 

Z / Zuchu / Hakuna kulala


[intro]
Lala lala lala lala lala lala
Lala lala lala lala
Mmhhh! Mmhhh!

[verse 1]
Namvuta faraghani
Tumo tumo ndani
Namtazama simuishi
Namkanda mambavuni
Kayainua majeshi
Vita nichague mimi
Aanze bangladesh
Amalizie sudan
Twanozana hatosheki
Kaniweka kifuani
Hatingishiki haruki
Yuu hoi wa taabani
Nampa na vya kurithi
Na mizungu ya kigeni

[chorus]
Hakuna kulala (eeeh eh!)
Hakuna kulala (lala lala lala)
Hakuna kulala asubuhi itukute
Hakuna kulala (mi na weewe!)
Hakuna kulala
Hakuna kulala na machweo yatukute

[verse 2]
Mmmhh!
Siwezi kuficha hisia
Maradhi yataniumbua
Mizimu inayonijua
Kanila kanimalizia
Mbora katimiliki
Kwa pasi za resiresi
Hapitagi njia fupi
Shortcut ye za nini?
Nampa na vya kurithi
Na mizungu ya kigeni

[chorus]
Hakuna kulala hakuna kulala
Hakuna kulala asubuhi itukute
Hakuna kulala hakuna kulala
Hakuna kulala na machweo yatukute

[outro]
Laaaadha yaaaako
Laaadha yako
Ladha yako
Ni taam
Nitam nitam
Nitam sana
Teksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.
Szukaj MP3
· Zuchu - Hakuna kulala
· Konwertuj video do MP3
· Konwertuj video do MP4

Nowe Teledyski
 · " onmouseover="ttitle(this,event)">Klaudia Zielińska - Jambo "Znowu Czuję Lato"
 · Kacper HTA X Hinol - Smak Twych Ust
 · Skolim - Wejde Wyjde
 · Kizo X Bletka? - 100 BPM
 · Sabrina Carpenter - Please Please Please
 · Ariana Grande - The Boy Is Mine
 · Billie Eilish - Chihiro
 · Kizo, Bletka - Na Brzegu
 · Popek - 2024 Lato
 · Eminem - Houdini
 · Topky - Kto Wkurzy Cię Jak Ja
 · Kubańczyk - Bukiet Róż
 · Oskar Cyms - Cały Czas
 · Skolim, Divix, Hellfield - Bebecita
 · Bayera - Zakochać Się
 · Dedis - Zagubione Dziecko
 · TKM - Queen
 · Daj To Głośniej - Pilnie Oddam Gruz
 · Kubi Producent Ft. Szpaku, Tulia - Pusty Pokój, Ale Płyty Diamentowe
 · Alan Walker, Kylie Cantrall - Unsure

Wszelkie prawa zastrzeżone. Powered by © 2004-2024 Teledyski.info || Polityka cookies || Darmowe Mp3 || Zgłoś błąd

[ darmowe teledyski do oglądania ]