Iii...arira rarira Rarari rarari Iyaa, iyaa iyaa eey Tiaria, rari rari eey
(Mocco)
Mi amor, te amo Le te quiero, te quiero Yaliyomo yamo Hujazoa penzi kwa beru
Mwenzako migulo chengele Wanalia ugoya wa nje bwerere Sema upendacho utakula jegele Kinyama kulumagia kam nkuchumie tembele
Na bila huruma unanijuza Kwamba unayabaruza Mi mtoto unanikuza Wee aah
Unanichezesha kwaito Kwa koro waito You dey give me banana Your love is stamana Unachezesha kwaito Kwa koro waito My baby twachezeshana
Che! Che! Cheche rumba che! Che! Hey tunashikana shikana Che! Che! Cheche rumba che! Che! Tunachezeshana Che che che rhumba che Che! Che! Cheche rumba che! Che! Zinatoka che che tukigusana gusana Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Eeeh unapendaga chocolate (Enhe) Mavanilla nilla (Enhe) Tam tam sweety ety (Enhe) Nikichenga ka roja Mila (Enhe)
Brrr Okey! Penzi koleza uje wa Dubai Huba lipambe moto Kama mafuta kwa karai
Okey na ulivyo katoto lito to! Leo mpaka kokoriko ko! Ghetto ni kulamba mwiko ko! Sakafu hadi kwata niko ko!
Korikoko mama utaniua, nikomeshe! Ya leo kiboko, nikomeshe! Imezidi utamu, nikomeshe! She! She! She! Komeshe!
Asa kukuacha wewe (Nitawezaja?) Niende kwa mwengine (Nitawezaja?) Ujeuri sina Jinsi twachezeshana
Che! Che! Cheche rumba che! Che! Hey tunashikana shikana Che! Che! Cheche rumba che! Che! Tunachezeshana Che che che rhumba che Che! Che! Cheche rumba che! Che! Zinatoka che che tukigusana gusana Che! Che! Cheche rumba che! Che!
Na kakara zako kinkiri Kinkiri kanka! Kinkiri kankara kinkiri Zanimalizaga
Eeh na kakara zako kinkiri Kinkiri kanka! Venye unavyo kinkiri Kinkiri kan kinki Kinkiri kanka Ki! Ka! kirinkaka!
Unanichezesha kwaito Kwa koro waito You dey give me banana Your love is stamana
Unachezesha kwaito Kwa koro waito My baby twachezeshanaTeksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.