Kapipo on the beat, hey eeeh Ooh nanana, ooh mamama Maulana mmmh (Kapipo)
Kapu limeshajaa Mapitilizo maudhi yamezidi Moyo wangu uko mbali nawe
Soko la karafuu umeuza dagaa Na ule utamu umeugawia kijiji Umenipa donda la roho Isipagawe
Mungu amenipa ufahamu Natambua lipi chema na baya Usizuge kwa tabasamu Kumbe huna lako moyoni
Na nishazoea mila Kikwetu kusema sema ni roho mbaya Ningalikuwa na uwezo Mwanzo ningekuficha mfukoni
Ulinidanganya kumbi kumbi Nilale bila chandarua Kumbe mbu nang'ata
Si ulinikung'uta mavumbi Nilipo omba nyingi dua Ukaniondolea mashaka
Mapenzi hayalazimishwi Haukuridhiana na mimi nenda Ila nakuombea Ukaishi maisha mema
Pia siwezi na silazimishi Labda sina dhamani, huenda Kuondoka kwako kwangu Mungu akaleta mema
Nimekubali mimi, japo ni maumivu ila Nimekubali mimi, japo hutoki kwa akili yangu unaizunguka Nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh Nimekubali mimi, nimekubaliana na weee
Japo ni ngumu ka imenikwama miiba Maana kwa ndani ndani bado inanichoma Na maumivu huwezi yasikia Nayasikia mwenyewe tu
Na hali ya upweke sio kawaida Najua dhahiri kuwa na kinyima amani Stress ingekuwa kilevi Ndio kulala na viatu
Jua mwana ukiyataka ndo mwana kuyapata Mungu hamnyimi mja wake Usinung'unike kwa utakacho kipata Maana ndo unachotafuta
Umekuwa gari la taka, haunaga tabaka Umekosa hadhi ya mwanamke Tulia yakufuate magari bovu Ndo kutwa ukafuata fuata wee
Mapenzi hayalazimishwi Haukuridhiana na mimi nenda Ila nakuombea Ukaishi maisha mema
Pia siwezi na silazimishi Labda sina dhamani, huenda Kuondoka kwako kwangu Mungu akaleta mema
Nimekubali mimi, japo ni maumivu ila Nimekubali mimi, japo hutoki kwa akili yangu unaizunguka Nimekubali mimi, nimekubaliana na wewe eeh Nimekubali mimi, nimekubaliana na weee
Ibraah, Konde music worldwide (And the good music has been done by Kapipo)Teksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.