Wewe, aah aah ah Haukutaka kulea, wakati unalelewa Lazima uvunjie watu wazima heshima Punguza mazea unajifanya una-care Wakati umemtelekeza Fahima
Achana na walokutangulia Wakati kesho yako hujui itakwangukia Unaweza Wasafi ukatimuliwa Na Konde Gang ukaja kusign-iwa
Unashindana na mwanajeshi Ambaye vita aliianza baba yako (Na hawezi) Msalimie kipa la ndezi Mwambie hata akikesha kwa sango (Hatuhami Mbezi)
Nyimbo kaimbiwa Kajala Karauka na kupwita pwita Acha papara aah wee Naskia unachimba mikwara Hauna chochote wewe buma chakula ah wewe
Mapenzi ya Konde na Kajala Yanakuhusu nini kaka wee (Hayakuhusu) Hata wakiongea video call Na Paula lakini si mwanae (Hayakuhusu)
We njoo ukomae na muziki (Hayakuhusu) Ona kina Chinga tunahit (Hayakuhusu) Ah tumeanza jana hatushikiki (Hayakuhusu) Umeona Sound from Africa haisikiki, imebuma wee…
Mambo ya kuhonga waandishi wa habari Nyi mmezoea tunawajua Hata Youtube zetu mnapochokonoa Si tunawajua, tunawajua
Kama vipaji mnavyo, sa wivu wa nini? Tufanye kazi na tusonge mbele Kama vipaji mnavyo, na mnajiamini Ya nini sasa kupiga kelele
Eeh akina Lokole, si wanawapost Sababu ndio machawa wao, ndio machawa wao Kila siku anawapromote Leo asikose ladha, ooh ladha ooh
Ah chondelei mrudie Fahima ukamtunze mwanao Yasiwe ya Mzee Abdul na Nasibu Kumbuka kujinyima usimsahau mwanao Baadae akutunze usije pata aibu
Mapenzi ya Konde na Kajala Yanakuhusu nini kaka wee (Hayakuhusu) Hata wakiongea video call Na Paula lakini si mwanae (Hayakuhusu)
We njoo ukomae na muziki (Hayakuhusu) Ona kina Chinga tunahit (Hayakuhusu) Ah tumeanza jana hatushikiki (Hayakuhusu) Umeona Sound from Africa haisikiki, imebuma wee…Teksty umieszczone na naszej stronie są własnością wytwórni, wykonawców, osób mających do nich prawa.